Pata taarifa za hivi punde na matangazo muhimu ndani ya klabu yetu.
Mwenyekiti wa Wasakatonge club anawatangazia wanachama wote kikao cha Mwezi AUGUST tarehe 02.08.2026; Kitakachofanyika kwa njia ya mtandao (WhatsApp Group) kwanzia saa kumi na moja jioni.\r\nAJENDA.\r\n1: Kufungua kikao.\r\n2: Mahudhurio.\r\n3: Mrejesho wa Usajili wa Klabu .\r\n - Tumefika wapi?\r\n - Hatua zinazofuata?\r\n4: Ada na Faini.\r\n5: Mapato na Matumizi .\r\n6: Hisa.\r\n - June\r\n - July \r\n7: Mengineyo.\r\n8: Kufunga kikao.\r\n\r\nUongozi unaomba Mahudhurio kwa wanachama wote
Ndugu wanachama wa Klabu yetu, kikao cha 28.06.2026 kimeghairishwa kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wetu.\r\nTuendelee kutekeleza wajibu na majukum ya Klabu tukutane kikao cha mwezi July.\r\n\r\n#moneysaverarewinners
Habari! Tunapenda kuwajulisha kuwa matengenezo na maboresho ya mfumo wetu (Website/Subsystem) yamekamilika kikamilifu leo.Lengo la maboresho haya ilikuwa ni kuongeza kasi, ulinzi (SSL), na ufanisi wa huduma tunazokupatia ili ufurahie matumizi bora zaidi.Mfumo upo hewani sasa na mnaweza kuingia kwenye akaunti zenu na kuendelea na shughuli zenu kama kawaida. Kama utakutana na changamoto yoyote, tafadhali wasiliana nasi haraka.Ahsante kwa uvumilivu na ushirikiano wenu! 🤝