SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI
Karibu! Tafadhali soma kanuni na masharti kabla ya kuendelea. Kujaza fomu hii ni hatua ya awali ya maombi ya uanachama wa Wasakatonge Club.
Maombi yako yatahakikiwa na Bodi ya Chama kabla ya kupitishwa rasmi.
Tafadhali hakikisha una taarifa sahihi za msimamizi wako wa mirathi (Mke, Mzazi, Mtoto, au Ndugu).
Tafadhali hakiki taarifa zako zote kabla ya kumaliza.
Ukibonyeza SUBMIT, maombi yako yataenda kwa Admin kwa ajili ya uhakiki. Utapokea mrejesho hivi punde kupitia mawasiliano uliyotoa.